MR. SHYTOWN SWAGGERZ
CELLO BIZZO!
Huyu Kijana Ni Moja Ya MC Na Rapper Wanaofanya Vizuri Sana ShyTown Kwa Sasa Ana Miondoko Mizuri Sana Ya Chana Natumaini Atakuwa Ni Moja Kati Ya Wasanii Wazuri Sana Siku Za Baadae!! BIG UP Kijana Usikate Tamaa Ongeza Bidii Na Pia Ukivumilia Mbona Mbele Kweupe Kabisa. HUYU NI UNSTOPABLE MC RAPPER MR. SHYTOWN SWAGGERZ(CELLO BIZZO)
.

No comments:
Post a Comment