MR. MORE RHYMES HIMSELF MA MAN SCAR DEEEEEEEE!!
M.R.A(MORE RHYMES ADDITION) REC.
SCAR DEE
Ni mmoja kati ya PRODUCERS wanaofanya vizuri ShyTown kwa sasa pia ni miliki wa STUDIO ya More Rhymes Addition Record. Nampa BIG UP sana kwa kufanya harakati za kusimamisha MZIKI wa Shytown. HUYU NI SCAR DEEEEEEEEEEEE
No comments:
Post a Comment