Monday, June 10, 2013
Sunday, June 9, 2013
Cello Bizzo-Nipe Mic{Prod By Scar Dee In More Rhymes Adittion Records}
MR.SHYTOWN SWAGGERZ CELLO BIZZO
Tazama ngoma kali ya CELLO BIZZO burudika na MUZIKI mzuri kutoka SHYTOWNCello Tolkin About The Game
CELLO BIZZO
Hapa ili kuwa mwaka jana CELLO BIZZO akizungumzia MUZIKI kwa jumla
Saturday, June 8, 2013
MR. SHYTOWN SWAGGERZ CELLO BIZZO! HOT MC AND NEXT SUPER STAR!
MR. SHYTOWN SWAGGERZ
CELLO BIZZO!
Huyu Kijana Ni Moja Ya MC Na Rapper Wanaofanya Vizuri Sana ShyTown Kwa Sasa Ana Miondoko Mizuri Sana Ya Chana Natumaini Atakuwa Ni Moja Kati Ya Wasanii Wazuri Sana Siku Za Baadae!! BIG UP Kijana Usikate Tamaa Ongeza Bidii Na Pia Ukivumilia Mbona Mbele Kweupe Kabisa. HUYU NI UNSTOPABLE MC RAPPER MR. SHYTOWN SWAGGERZ(CELLO BIZZO)
.
MR. MORE RHYMES HIMSELF MA MAN SCAR DEEEEEEEE!!
M.R.A(MORE RHYMES ADDITION) REC.
SCAR DEE
Ni mmoja kati ya PRODUCERS wanaofanya vizuri ShyTown kwa sasa pia ni miliki wa STUDIO ya More Rhymes Addition Record. Nampa BIG UP sana kwa kufanya harakati za kusimamisha MZIKI wa Shytown. HUYU NI SCAR DEEEEEEEEEEEE
Friday, June 7, 2013
Rique Van-pierre Ndeki
RIQUE VAN-PIERRE NDEKI
HOT VIDEO PRODUCER NAMPA HESHIMA SANA HUYU KAKA YANGU 7BU KAZI ANAYOFANYA NI KUBWA NA NZITO PIA!! BIG UP MY BROTHER FROM ANOTHER MOTHER!!
Subscribe to:
Posts (Atom)