Thursday, October 17, 2013

DAYNA-NAUMIA

Unaosemekana Uliibwa Na Diamond Na Kuuita Number One

Huu ndio wimbo wa Dayna ambao Diamond ameiba bit na melody na kuuita namba one. Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.
 

No comments:

Post a Comment