Saturday, October 19, 2013
Thursday, October 17, 2013
DAYNA-NAUMIA
Unaosemekana Uliibwa Na Diamond Na Kuuita Number One
Huu ndio wimbo wa Dayna ambao Diamond ameiba bit na melody na kuuita namba one. Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.Wednesday, October 16, 2013
MAMBO HAYA YANATURUDISHA NYUMA SANA MKOA WETU WA SHINYANGA
JAMANI HAPA TUNAPIGA STEP ZA KWENDA NYUMA.
DROPPER,MANGU NA DANNY PES NAOMBA MZUNGUMZE MGOGORO HUISHE ILE TUFANYE KAZI JAMANI.
PLEASE GUYS HAYA MAMBO HAYA SAIDII KABISA
Temptation, Diamond Platnumz & HHP, Coke Studio Af
ANGALIA DIAMOND PLATNUM AKIIMBA NYIMBO YA TEMPTATION YA P QSUARE
SINGLE ZERO TRAILER TIMAMU EFFECTS ENT. LTD 2013
MOVIE KALI KALI SANA YA ACTION KUTOKA TANZANIA
SINGLE ZERO
MDUNDIKO MOVIE TRAILER TIMAMU EFFECTS - 2013
MOJA KATI YA MOVIE BORA TANZANIA PIA IMECHUKUWA TUZO HUKO AMERIKA.
MDUNDIKO
OCHU SHEGGY OFFICIAL HD VIDEO 2012 ( EMPTYSOULZ PRODUCTION )
ANGALIA MISS BEUTIFUL AISHAZ MUSSA AKIFANYA MAMBO YAKE!!
Jere One, Benkush, scar dee & mo music
SCAR DEE, JERE ONE,BENKUSH & MO MUSIC THEY MAKE HEADLINE AGAIN
SAM TIMBER AFUNGUA KAMPUNI YA VIDEO INAIITWA "TIMBER VIDEOZ"
Moja ya Produza kutoka pande za A Town Sam Timber, ambaye ashafanya kazi na wasanii wakubwa kama Ben Pol, Bu Nako, Fid Q, Lord Eyes na wengine kibao amesema kuwa amefungua kampuni yake ya kutengeneza Video. Moja ya ngoma ambayo ametengeneza ambayo inakubalika na wengi mpaka sasa ni 'Neno' ya Lord Eyes na Fid Q.
Produza huyo amesema kuwa kampuni yake ya Video inaitwa 'Timber Videoz', "wanaweza kunipata pale pale Fnouk Studio ni njia ya kuelekea Njiro Arusha baada ya kituo cha Bia kinaitwa 'Chini ya mti; kuna kibao cha Studio kinaelekeza Kampuni inaitwa Timber Videos", alisema
Tuesday, October 15, 2013
Monday, October 14, 2013
Scar dee ft Cello bizzo & BenkushOfficial video music)SOFTFACE.
Scar dee ft Cello bizzo & BenkushOfficial video music)SOFTFACE.
Subscribe to:
Posts (Atom)