BOUNAKO JEMBE LA KASKAZINI (with download link)
![]() |
BouNako a.k.a Jembe la kaskazini |
Mzee
mzima D Double anayejulikana vema zaidi kama BouNako a.k.a Jembe la
kaskazini anadondosha dudeee brand new kwa fans wote wa hiphop
duniani..hii ndio "Jembe la kaskazini"(download hapa),ikiwa
ni single inayofata "Mara Hoo" ambayo imefanya vema mtaa na media kwa
miez mitatu ilopita, "Game ni gumu tangu enzi za baba zetu likini
kukata tamaa sio suluhu wala haisaidii, nakomaa kwa maana mashabiki
zangu ndio wananipa nguvu ya kutifua" hii ni zawadi kwenu kwa support
yenu kununua T-shirt za J.E.M.B.E na iko wazi mimi sio kitu bila ninyi,
skilizieni more tingz zinakuja "walete" pamoja na "acheni"..
No comments:
Post a Comment