Monday, November 25, 2013

STORIA FUPI KUHUSU BLANDINA CHANGULA (JOHARI)

BLANDINA CHANGULA (JOHARI)


       Jina la Kiraia    Blandina Changula
      Jina la Kisanii   Johari
      Nchi                   Tanzania
      Alizaliwa            27 Julai 1983
      Kazi yake          Muigizaji       

MAINDA AMWITA MWENZAKE JINI LA SHINYANGA

TEAM MAINDA VS TEAM JOHARI


KIMENUKA! Kambi mbili za wasanii wanaotamba katika tasnia ya filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ na Blandina Chagula ‘Johari’, zimetupiana matusi mazito, Ijumaa Wikienda limeyanyaka. Chanzo cha yote ni Mainda kufunguka juu ya uhusiano wake na ‘kaka mkubwa’ katika tasnia ya filamu za Kibongo, Vincent

ICE CREAM-NOORAH FT SUMA LEE

NOORAH